TUWATUNZE NA KUWAPENDA NDUGU ZETU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINISM)
Siku ya watu wenye ualbino huadhimishwa kila ifikapo tarehe 3 Juni kila
mwaka.
UNESCO, shirika ambalo pamoja na mambo mengine, limekuwa linaendesha mafunzo
kwa radio za kijamii nasi tukiwa wanufaika wa mafunzo mbalimbali toka kwao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni