Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Swalehe Omar Qaabi amelitaka baraza la Maalamaa kutafuta mbinu ya kuongea na wananchi katika baadhi ya maeneo kisiwani pemba kugomeana katika huduma za kijamii na kutafuta njia ya kutatua hali hiyo isiendelee miongoni mwao.
Hayo ameyasema hapa ukumbi wa kiwanja cha michezo Gomban alipo
kuwa akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa siku moja kwa wajumbe wa
baraza la malamaa na viongozi wa dini kisiwani Pemba.
Kwa upande wao baadhi ya maulamaa walisema hali hiyo ni kero na
kuitaka serikali kuu kuliona no kushiriki kufanya kwa upande wao kuiweka
jamii iweze kuishi bila ya migogoro miongoni mwao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni