Jumla ya vijana 105 wanaofanya kazi katika la Mbunge wa Musoma mjini Mh.Vedastus Mathayo wameandamana kudai haki zao kwa madai ya kwamba kile walicho ahidiwa na Mbunge huyo miezi mitatu iliyo pita hakijatimizwa hata asilimia moja.
Vijana hao wamesema wamekuwa wakifanya kazi katika shamba hilo kwa nguvu zote wakitegemea kupata chochote kutoka kwa mbunge wao ambapo walisema kuwa waliahidiwa kupatiwa Tsh 1000000 kwa kila moja kwa mwezi
Juhudi za kumpata Mh. Mbunge bado zinaendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni