Mamlaka ya mapatoa nchini, TRA, ofisi ya ZANZIBAR imekusanya zaidi ya
shilingi bilioni 80.17 kwa kipindi cha kati ya mwezi Julai na Novemba
2016 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato visiwani humo.
Mamlaka ya mapatoa nchini ,TRA - ofisi ya ZANZIBAR imekusanya zaidi
ya shilingi bilioni 80.17 kwa kipindi cha kati ya mwezi Julai na Novemba
2016 kutoka vyanzo mbalimbali vya mapato visiwani humo.
Akizungumza mjini UNGUJA, naibu kamishna TRA Zanzibar , MCHA HASSAN
MCHA amesema kiasi hicho cha mapato ni mwenendo mzuri wa makusanyo
ambapo malengo ni kufikisha shilingi bilioni 188.80 utakapokamilika
mwaka wa fedha wa 2016/17.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni