Kampuni ya ufugaji na utengenezaji chakula cha kuku ya PIL Trade ya
mjini DAR ES SALAAM imeanzisha shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo
ya ufugaji bora wa kuku kwa wajasiriamali
Kampuni ya ufugaji na utengenezaji chakula cha kuku ya PIL Trade ya
mjini DAR ES SALAAM imeanzisha shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo
ya ufugaji bora wa kuku kwa wajasiriamali
Akizungumza kwenye uzinduzi wa shamba hilo,mkurugenzi mtendaji wa
kampuni hiyo Ismail Lankii amesema mafunzo hayo yatahusu utunzani wa
kuku kuanzia vifaranga, uchangaji bora wa chakula na yatamwezesha
mjasiriamali kuanzisha miradi ya kisasa ya ufugaji wa kuku.
Naye afisa masoko wa kampuni hiyo Sharifa Issah amewashauri vijana
kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku kwani ni njia ya uhakika ya
kujipatia kipato.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni