Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya
ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la
Kirumba jijini humo.
Umati
wa wananchi ukiwa umefurika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe
Magufuli.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni